Nchi zinazotuzunguka zinakitu kama JF?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,394
81,236
Nimekuwa nikijiuliza kama nchi za Afrika ya Mashariki zina kitu kama JF na serikali zao zina msimamo gani na kitu kama JF.

Mwenye taarifa za uwepo anijuze!
 
Ndio Kuna nchi km Nigeria wana forums nyingi Sana.. Nchi karibia nyingi wana free forum chache ambazo uhuru WA kutoa maoni umebanwa huwez kukuta site labda zile zinazo fuata International policy
 
Ndio Kuna nchi km Nigeria wana forums nyingi Sana.. Nchi karibia nyingi wana free forum chache ambazo uhuru WA kutoa maoni umebanwa huwez kukuta site labda zile zinazo fuata International policy
Nigeria wanayo inaitwa nairaland.........

Mmeambiwa Africa Mashariki, Kama ni Mtihani mmefeli.

Kiukweli kwa Discussion Forum Africa Mashariki basi JamiiForums iko mbali sana.

Uganda sidhani kama wanayo maana kipindi cha Uchaguzi niliona wanavyohangaika na Facebook.

Kenya wana JamiiForums.com ila sio kama JamiiForums maana hata mpangilio tu ni wa hovyo.
 
Back
Top Bottom