zoeca
Senior Member
- Nov 24, 2010
- 130
- 11
Tuwe wasema kweli pia Tunaomba UKWELI uheshimiwe.
Hii nchi tumeishi kwa upendo toka mwanzo, kama vyama vingi ni kelele masikioni mwa baadhi basi ipelekwe hoja vifutwe.
swala LA kutotembeleana na kujenga uadui kisa tofouti ni itikadi ni vema kila Mtanzania atambue utu ni zaidi ya itikadi na amani ni zaidi ya utashi wa MTU hata awe nani , hii ni nchi yetu wote .
by
mkereketwa wa AMANI.