KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 30,263
- 69,503
Mtu unajiunga na kifurushi cha intanet halafu ukitaka kutumia ni ku load wee utafikiri maonyesho! sijatumia hata mb 1 toka nimejiunga hasubui! dah! Huu ni upuuzi na inakera dadeki. Halafu nawapigia nikitaka niongee na muhudumu mara inakata hivi nyie mnamasihara na sisi au dharau?
Hebu jirekebisheni alasivyo ntawatimbia ofisi zenu maana mmeniuzi sanaa.. naona mmeanza kuwa jipu sasa wkt mlianza vizuri muwe na aibu mambo mengine a.a.a.a.... mnaboa
Hebu jirekebisheni alasivyo ntawatimbia ofisi zenu maana mmeniuzi sanaa.. naona mmeanza kuwa jipu sasa wkt mlianza vizuri muwe na aibu mambo mengine a.a.a.a.... mnaboa