Huu ni uongo wa kupindukia. Hii tabia ya kutafuta namna ya kutoka kwenye udhalilishaji inamsumbua ndugu yetu, hivi viongozi wa Ki Afrika wamelogwa na nani kushindwa kuomba msamaha na kuwataka radhi watu pale wanapokuwa wamekosea?
Najua ndugu yetu anataka kuwaaminisha watanzania kuwa askofu Gwajima hakupatikana na ushahidi kwa kuwa alitumia chumvi na colgethi huu siyo ukweli ni uongo usio na mfano, hayo maneno yalitakiwa yasemwe na mkemia mkuu wa serikali, huu ni upuuzi wa kiwango cha juu.
Watanzania tusinyanyaswe kwa ujinga wetu
Mungu iponye Tanzania