Halotel kila siku wanapunguza ukubwa wa bundle

Kongolo

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
441
434
Naona Halotel biashara imewanogea kila siku wanapunguza ukubwa wa bundle, leo ghafla Tshs 1000 unapata MB 300 from 450 and before that ilikuwa 650MB per day. Halotel msitufanye mazoba tena na speed yenu siku hizi imepungua mno tu. Jiangalieni.
 
Tuliwambia mtawakimbia wenyewe.
Tukiwambia mje vodacom 4G hamtaki.
 
Kama ulitema BIG G kwa karanga za kuonjeshwa basi sasa ndio wakati wako wamajuto
 
Hawa mbwa wote hawana afadhari, dawa yao inakuja.

Tena halotel mmeamua kuwa kama viziwi naanza na nyinyi.
 
akha! halafu mnavyozidi kuwachukia ndio navyozidi kuwapenda! halotel kamua wazee tuliipenda wenyewe acha waisome namba ee sijui nini mbele kwa mbeleee!!
 
Mimi vida wamenitesa sana, ilq sasaivi natumia airtel wala sizimi data siku nzima kama wakati nikitumia voda, tigo pia wako vizuri
 
Tafuta line ya chuo
0c38024033127dc0f9fb956f9d49bdb9.jpg
 
Vijana wao baadhi wanaozunguuka mitaani sio wakweli wanatoa ahadi hewa ukiwapigia simu hawapokei
 
Na Mimi ndio maana nimetaka kujiunga nakuta hali tofauti na niliyozea
 
Back
Top Bottom