Barakaeli174
Senior Member
- Aug 2, 2015
- 171
- 142
Wana JF
Nimeangalia picha za RC Makonda akizunguka maeneo mengi yaliyokumbwa na mafuriko na huku akiwa anaruka mitaro kuna mtu kama baunsa hivi lakini cha ajabu sioni Timu ya administration ya jiji wala Wilaya wakiwa pamoja ili kutathmini na kujadiliana kuhusu kilichotokea
Ni kwanini au maana yake nini naomba mnieleweshe maana huwa sio kawaida ya ziara ya mkuu wa Mkoa. TV zenyewe hata sijaona wakionyesha ziara yake huenda zipo ambazo sijaangalia lakini kwann awe peke yake.