Wakuacha
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 2,046
- 1,337
Habari wana Jf...
Mimi niliajiliwa miaka saba iliyopita.....kwa kweli hili swala LA vyeti linanikondesha na linapelekea kupoteza furaha yangu kila nikumbukapo yale maneno aloyatamka Mkuu Wa polisi kanda maalumu ya Dar es saalaam....
Najiuliza je na Mimi ni jipu....Mimi mwaka 2009 niliajiliwa na post yangu ya kwanza ilikuwa Bunda. Ni kweli chet nilichotumia kuingilia hakikuwa cha kwangu lakini baada ya kuingia tu kazini nikasoma Qt hiyo 2010 na 2011 nikafaulu baadae 2013 nilifanya mtihani Wa kidato cha sita na pia nilifaulu vizuri ..baada ya hapo nilijiunga na chuo kikuu huria 2013 nategemea kugraduate mwaka huu yaani 2016...lakini kazini bado sijavisajili hivi vyeti vingine.....vya QT naombeni ushauri wenu juu ya hili......