RC Makonda kapata wapi pesa za kufanya maadhimisho?

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,588
11,668
Mkuu wa Mkoa Paul Makonda yupo katika maadhimisho ya mwaka mmoja tangu awe Mkuu wa mkoa.

Nani kagharamia maandalizi ya hiyo hafla wakati falsafa ya rais wetu ni kubana matumizi?

RC live luxurious life.
 
Mkuu wa mkoa paul makonda yupo katika maadhimisho ya mwaka mmoja tangu awe mkuu wa mkoa.

Nani kakagharamia maandalizi ya hiyo hafla wakati falsafa ya rais wetu ni kubana matumizi?

RC live luxurious life.
NCHI HII ina MAPESA MENGI..
wale watu pale walikuwa wachache tu.,hata mimi naweza kuwaalika
 
he doesnt play by the rules,huyo ndo mnyonge anayelindwa, ukisikia nitawalinda wanyonge basi ndo bashite
 
Mkuu wa Mkoa Paul Makonda yupo katika maadhimisho ya mwaka mmoja tangu awe Mkuu wa mkoa.

Nani kagharamia maandalizi ya hiyo hafla wakati falsafa ya rais wetu ni kubana matumizi?

RC live luxurious life.
Nenda mahakamani ka umeibiwa.
Mbona hujahoji hela za kuwalipa waliojenga mabondeni atazitoa wapi?
 
Back
Top Bottom