Abuwhythum
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 837
- 495
Kama tungeajiri mwaka jana May kama ilivyotangazwa bungeni, hadi sasa tungekuwa tumewalipa waajiriwa wapya zaidi ya billion mia sita ambazo zinatosha kugharamia mchakato wa elimu bure ambao kwa mwezi tunatoa BILLION 18.77. Pesa iliyookolewa inatosha kugharamia elimu bure kwa zaidi ya miaka miwili na nusu.
Bado wahitimu wa 2016 watachangia pesa mfano wa huu iliyochangwa na wahitimu wa 2015 kwa nguvu.
Hongera sana aliyebuni mchakato wa uhakiki. Poleni sana vijana wahanga wa ajira mpya kwa kubebeshwa mzigo ambao si wenu!
Hiyo pesa inatokana na hesabu hii
Waajiriwa 71,496 kwa wastani wa 700,000/= kama Basic salary kwa kila mmoja japo ni zaidi ya hapo kwa mwaka mzima sasa.
71,496×700,000×12
=600,566,400,000