Keko, Dar: Teja afariki na bomba la sindano mkononi

SinaChama

Senior Member
May 1, 2012
109
59
Hapa DDC Keko, Dar es salaam, kwenye eneo la wazi, katika ukuta unaotenganisha eneo hilo na National Hotel, wakazi wamekusanyika kwa taharuki baada ya kumuona kijana amelala ukutani na hapumui, inaonekana ameshakufa muda mrefu, kwasababu hata mwili wake umeganda hivyo hivyo alivyo.

Mkononi kijana huyu ana bomba la sindano bado lina ning'inia , kwahiyo inasadikika alikuwa amejidunga madawa ya kulevya.
Majirani waliofika eneo hili, wanasema vita ya Makonda dhidi ya dawa za kulevya inahitajika sana pamoja na mapungufu aliyonayo.
 
Attachments

  • IMG_5566.JPG
    IMG_5566.JPG
    499 KB · Views: 125
Hatari.

ila Makonda hapigani vita ya madawa ya kulevya.

Hapa DDC Keko, Dar es salaam, kwenye eneo la wazi, katika ukuta unaotenganisha eneo hilo na National Hotel, wakazi wamekusanyika kwa tahayuri baada ya kumuona kijana amelala ukutani na hapumui, inaonekana ameshakufa muda mrefu, kwasababu hata mwili wake umeganda hivyo hivyo alivyo.View attachment 480786View attachment 480796
Mkononi kijana huyu ana bomba la sindano bado lina ning'inia , kwahiyo inasadikika alikuwa amejidunga madawa ya kulevya.
Majirani waliofika eneo hili, wanasema vita ya Makonda dhidi ya dawa za kulevya inahitajika sana pamoja na mapungufu aliyonayo.
 
Heroin the opioid hiyo ishafanya yake kwenye ubongo, heroin imesababisha respiratory depression kwenye brain stem ikapelekea mapafu kushindwa kufanya kazi.....anyway jamaa kafa akiwa anaexperience Euphoria ya kipekee huku pumzi inakatika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom