Inahitajika viza kusafiri katika nchi za SADC?

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,622
4,138
Wakuu naomba kufahamishwa,

Inahitaji viza kusafiri nchi za SADC kama vile Zambia, South Africa, Swatzland, Namibia, Botswana, Malawi na Zimbabwe?

Nijuzeni tafadhali kwa wenye ufahamu nalo.
 
Back
Top Bottom