Bahimba
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 510
- 346
Kwanza nianze kwa pongezi kwa mkuu wa mkoa wa Dar bwana Paul Makonda, ni moja ya vijana wachache kabisa nchi hii kuwahi kupewa madaraka makubwa na kuweza kuyamudu vyema, nimeanza kukufuatilia toka bunge la katiba mpaka kua mkuu wa wilaya ya Kinondoni na baadae kua RC wa Dar, umeonyesha uthubutu mkubwa ambao kwayo Viongozi wengi walishindwa.
Siwezi kumaliza kuyaeleza mema yako yote hapa mana ni mengi sana, changamoto katika utekelezaji wa majukumu yeyote Yale ni kawaida sana wala si jambo lakushangaza.
Baada ya kueleza hayo machache sasa naomba nije kwenye hoja, ni karibu sasa wiki 2 kama sikosei kuna huu upepo mbaya sana kwako ambao usipoufanyia ufumbuzi wa haraka japo tayari umesha chelewa zinaweza haribu mazuri na mema yoooooote ambayo yamezaa mema mengi juu yako, hapa nimekuja na ushauri tu kama raia mwema wa nchi hii ambae anamapenzi mema na taifa langu Tanzania, hebu kata mzizi wa fitina kama ulipoukata baada ya mke wako kutuhumiwa kua si raia wa Tanzania, ulisimama haraka na kuweka wazi na tokea hapo hakuna alie endelea na tuhuma zidi ya mke wako, hii itakupa heshima mara dufu na kukuongezea heshima zaidi ya hapo ulipo na hata sasa hii vita ulioianzisha mpaka ikazaa huu upepo ulokuandama itakua na mashiko, lakini pia kwa mamlaka ilyomteua bwana Makonda kama kuna sehemu ilidanganywa na watu walomfanyia VEETING bwana Makonda basi isione aibu kutengua uteuzi wake ni hapo tu imani kwa watawaliwa kua mkulu anasimamia anachokizungumza.
NIKUTAKIENI USIKU MWEMA.