TANESCO: Tutasitisha huduma ya LUKU Jumapili na Jumattau

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,486
Shirika la umeme nchini TANESCO limetangaza kusitisha huduma za manunuzi ya umeme kwa wateja wa luku siku ya jumapili na jumatatu....
IMG-20170317-WA0027.jpg

==========

Maelezo zaidi

Ni kwamba mfumo wa luku utaingia kwenye uboreshaji kuanzia jumapili saa 4 usiku mpaka jumatatu saa 3 asubuhi.

Kwa hiyo huduma itakosekana kuanzia jumapili saa nne usiku mpaka j3 saa 3 asubuhi.

Kumbe huduma ipo kama kawaida ila muda huo tu mfupi ambao....
 
FB_IMG_1489769098219.jpg

Shirika la umeme limetangaza kusitisha manunuzi ya umeme kwa wateja wa LUKU siku ya jumapili usiku hadi jumatatu asubuhi kwa ajili ya kuboresha mfumo huo.

Source: Radio One
 
Mtoa taaarifa kuwa specific utawachanganya watu.
Ni kwamba mfumu wa luku utaingia kwenye uboreshaji kuanzia jumapili saa 4 usiku mpaka jumatatu saa 3 asubuhi.
Kwa hiyo huduma itakosekana kuanzia jumapili saa nne usiku mpaka j3 saa 3 asubuhi.
Kumbe huduma ipo kama kawaida ila muda huo tu mfupi ambao....
 
Mtoa taaarifa kuwa specific utawachanganya watu.
Ni kwamba mfumu wa luku utaingia kwenye uboreshaji kuanzia jumapili saa 4 usiku mpaka jumatatu saa 3 asubuhi.
Kwa hiyo huduma itakosekana kuanzia jumapili saa nne usiku mpaka j3 saa 3 asubuhi.
Kumbe huduma ipo kama kawaida ila muda huo tu mfupi ambao....
ahsante
 
Back
Top Bottom