Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Poll Poll
Wasalaaam ndugu wana jamii!! Siku chache zilizopita mlisikia kitu kilichotokea pale clouds media(upande wa TV).. Kwa wasio jua inshort.. Bwana makonda,paul au daudi bashite akiwa na kundi la...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Prof. Rwekaza Mkandala, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) apotosha Umma Kupitia Gazeti la The Citizen lililomhoji sakata la Uonevu endelevu zidi ya Ndugu Alphonce Lusako...
3 Reactions
32 Replies
6K Views
masaada plz,kwa kipindi kirefu nimekua nikitumia jina lisilo langu kwenye JF kwa sababu nilifunguliwa ACOUNT na mtu mwingine ambae aliandika jina lake,sasa imefika wakati nataka kutumia jina langu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
African countries bana, waeza lala usingiz wa miaka 30 ukiwawaza viongoz wa Afrika Labda tuanze kwenye uhaba wa madaktar kenya unatokana na nn? Jibu: Mgomo Sasa how comes wasitatue huo mgomo...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndg :Wana jf nimejiuliza maswali kuusu watu wanao piga kelele hasa kwenye mitandao wakitoa POVU,, kuusu uhalali wa vyeti vya mh. Mkuu wamkoa Wa Dar es Salam,, Mimi najiuliza...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Binti mmoja alikuwa akiendesha gari akiwa na baba yake. Wakiwa njiani ghafla mvua kubwa ikaanza kunyesha na kuleta tufani, yule binti akamuuliza baba yake, "Nifanyeje?" Baba yake akamwambia...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini... Tafadhali wajuvi wa mambo.. Naombeni mnitoe wasiwasi if ni salama kufanya online purchasing kwa kitumia hyo mitandao.. Hasa pale unapotaka kutumia visa vard au unapotaka kuweka bank...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
  • Closed
Katokana na kinachoendelea kuwa Soud Brown aka SHILAWADU ku-record video ya kumuhoji mwana mama anaedai amezaa na Gwajima, huku Clouds wakidai kuwa Makonda alitumia nguvu katika kutekeleza tukio...
32 Reactions
281 Replies
71K Views
Wakuu.. Huku tukiendelea kupata Mubashara kutoka Arusha, leo imebainika wazi ule uhusiano wenye mashaka kati ya makonda na GSM. Kuna email ilikuwa inatumwa kwa Rais wa GSM kutoka kwa meneja wa...
13 Reactions
261 Replies
36K Views
Wakubwa shikamoni, Mimi mwezenu nina katabia ka kufuatilia sana habari juu ya miradi ya maendeleo ya maeneo mengi ya nchi yetu, tena huwa nafarijika sana ninaposikia miradi fulani ikisonga mbele...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
ITV swali lenu ni la kujikomba. Hilo sio swali la kuuliza kwa mustakabali wa taifa letu. Swali la kutokujikomba lingekuwa: Je kuwapelekea madakitari wetu Kenya, ina maana Tanzania madaktari...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Hiki kitendo kama tukikiacha basi Wasomi tuliopo Tanzania tutaonekana wote ni wa hovyo hovyo kwani kinachofanyika sasa ni kupuuza sauti nyingi za Watanzania walioguswa na upuuzi wa Mkuu wa Mkoa wa...
36 Reactions
258 Replies
18K Views
Paul Makonda RC wa DSM alivyoweka utaratibu wa kufanya usafi jumamosi kiasi kwamba kufungua ofisi ni hadi saa 4 asubuhi ni kinyume na dhana ya hapa kazi tu. Faini ukifungua ofisi kabla ya saa 4...
0 Reactions
1 Replies
979 Views
Naomba wanaojua wanisaidie majibu ya maswali haya: 1) First lady anatambulika kisheria (cum KIKATIBA)? 2) Ni zipi kazi mahususi za first lady? 3) First lady analipwa? Na kama ndio malipo...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Ni miaka mingi sana imepita takribani 20 tokea nilipopotezana na rafiki yangu mmoja hivi na sikujua alipo ni wapi! Kwa bahati nzuri huyo rafiki yangu anaye mdogo wake ambae nilikuwa naonana nae...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa wauzaji wa nguo hasa singlet au VEST kwenye kola zimeandikwa CNT rangi iwe nyeupe zinahitajika size M. Nahitaji 12pcs. Niambie unapatikana wapi nakuja mwenyewe. Unaweza kunielekeza hapa hapa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kampuni ya four seasons safari lodge serengeti.si wawekezaji bali wamekuja kutafuta ajira,kutokana na mipango yao.menijimeti yote ni yawazungu wapo zaidi ya 30.na mbayazaidi wengi wao hawana...
3 Reactions
25 Replies
6K Views
Mwanamuziki wa kizazi kipya Nassib Abdul, Maarufu kwa jina Diamond Platnum, leo ametangazwa rasmi kuwa balozi wa GSM Mall. Diamond ambaye amejinyakulia tuzo mbalimbali za hapa nyumbani na...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Back
Top Bottom