UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,314
Paul Makonda RC wa DSM alivyoweka utaratibu wa kufanya usafi jumamosi kiasi kwamba kufungua ofisi ni hadi saa 4 asubuhi ni kinyume na dhana ya hapa kazi tu. Faini ukifungua ofisi kabla ya saa 4 asubuhi ni sh 50,000.
Kama usafi ingalikuwa uchafu ukikutwa mbele ya ofisi yako unatozwa faini nadhani ndo ingalikuwa approach nzuri zaidi na sio kukataza watu kupiga kazi asubuhi na mapema.
Hapa kazi tu ina contradict na maelekezo ya RC Makonda.
Makonda pls tengua huu utaratibu wako ama batilisha. Inawaumiza wengi sana kila Jumamosi.