Usalama wa manunuzi ya online Amazon na eBay

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,351
Habarini...
Tafadhali wajuvi wa mambo.. Naombeni mnitoe wasiwasi if ni salama kufanya online purchasing kwa kitumia hyo mitandao.. Hasa pale unapotaka kutumia visa vard au unapotaka kuweka bank detail zako...
 
Usiweke details zako kwa hao Amazon au Ebay, tumia Paypal kupitia visa/mastercard yako, register paypal na weka details zako kwao badala ya kwenye hizo shops. Hao ni "middle men" usipopata mzigo wako hela yako wanairudisha. Na wale wenye shops hawapati pesa yao hadi umepokea mzigo wako.
 
Habarini...
Tafadhali wajuvi wa mambo.. Naombeni mnitoe wasiwasi if ni salama kufanya online purchasing kwa kitumia hyo mitandao.. Hasa pale unapotaka kutumia visa vard au unapotaka kuweka bank detail zako...
Naitumia sana eBay na sijawahi kukutana na tatizo lolote. Kuna vitu vingi ambavyo bei yake ni nzuri kulinganisha na bei za madukani. Kwa mfano ukienda sehemu kama Ulaya utakuta lile kasha la kuwekea simu kama Iphone 7 ni euro 30 lakini ukiingia eBay unalinunua kwa euro 2 na uasafirishaji ni bure. Kuna vitu vingi sana unavyoweza kununua kwa bei nzuri na ni salama. Ila siku zote nunua through eBay na usikubali kuwasiliana na huyo muuzaji moja kwa moja.
 
Unatumia paypal au umeregister moja kwa moja
 
Natumia moja kwa moja. Huna sababu ya kuogopa kwa sababu details zako zote na za kadi yako zinakuwa eBay au Amazon, Hivyo muuzaji anayekuuzia bidhaa hawezi kuona chochote kuhusu wewe.
 
Mkuu wanaigeria hawaingilii hii kitu na kujikuta acount haina kitu
 
eBay au Amazon ni makampuni makubwa sana. Sisemi kuwa hayawezi kuingiliwa lakini si kirahisi. Kama unataka kufanya manunuzi kwa card kuwa na amani. Mimi nina uzoefu na hata sasa kuna vitu nasubiri vinakuja kwa posta. Nimenunua micro SD card ya simu kwa bei zaidi ya nusu ya dukani. Kama nilivyokueleza ukishajisajili na eBay data zako zote zinakuwa safe eBay na huwasiliani na muuzaji moja kwa moja. Kuna wauzaji wengine baada ya kuagiza na kuletewa bidhaa huwa wananiandikia email ili niwape feedback ya huduma zao. Na hiyo email haiji moja kwa moja kwangu ila inapitia eBay halafu eBay ndio wanaileta. Na nikijibu huwa haindi moja kwa moja kwa muuzaji bali inakwenda throgh eBay. Jambo la kuzingatia ni kuwa usikubali kuwasiliana na muuzaji moja kwa moja na kumpa data zako.
 
Ona kwa mfano hawa wameandika kunibembeleza kama sijapata mzigo nisiwaharibie sifa zao: Hii email wamenitumia baada ya kuagiza bidhaa kutoka kwao.

Dear .................
Glad to contact you,

More than 20 days have passed since your item was shipped. Have you received it?

If you haven’t received your item till 35 days after the date our shipped out or If you have anything you feel unsatisfied with, please do contact us from this message,please don‘t open a case or request (it’s very important for us,thanks). we will try our best to help. We do not want to give you a bad buying experience even when the shipping is out of our control.

When you receive it, we sincerely hope that you will like it and appreciate our customer services.we sincerely hope you can leave us a positive comment and four 5-star Detailed Seller Ratings if you like it and appreciate our customer services.

Thanks once more for your purchase.

Best regards

Kwa hiyo unaona hata ukiagiza bidhaa na muuzaji akikuletea ghilba unaweza kufungua case eBay na wao watamchukulia hatua. Labda uniambie kama uko Bongo mzigo ukiletwa through posta wanaweza ''kuchomoa'' kitu.
 
mkuu "asiwasiliane na muuzaji" sio kweli mimi pia nafany haya mambo mala nyingi kabla ya kuweka oda nafanya mazungumzo na muuzaji kwaajili ya kunipa punguzo la bidhaa yake!
 
upload_2017-3-11_20-34-54.png

watumie hao jamaa kuagiza toka online izo hapo wapo pale oysterbay morogoro store pale puma petrol station mi nawatumiaga hao
 
Ona kwa mfano hawa wameandika kunibembeleza kama sijapata mzigo nisiwaharibie sifa zao: Hii email wamenitumia baada ya kuagiza bidhaa kutoka kwao.

Dear .................
Glad to contact you,

More than 20 days have passed since your item was shipped. Have you received it?

If you haven’t received your item till 35 days after the date our shipped out or If you have anything you feel unsatisfied with, please do contact us from this message,please don‘t open a case or request (it’s very important for us,thanks). we will try our best to help. We do not want to give you a bad buying experience even when the shipping is out of our control.

When you receive it, we sincerely hope that you will like it and appreciate our customer services.we sincerely hope you can leave us a positive comment and four 5-star Detailed Seller Ratings if you like it and appreciate our customer services.

Thanks once more for your purchase.

Best regards

Kwa hiyo unaona hata ukiagiza bidhaa na muuzaji akikuletea ghilba unaweza kufungua case eBay na wao watamchukulia hatua. Labda uniambie kama uko Bongo mzigo ukiletwa through posta wanaweza ''kuchomoa'' kitu.
Nashukuru sana mkuu
 
ebay wako safe sana na usipopata mzigo wako kwa ule muda uliotolewa unasubir siku kumi then baada ya hapo unaweza fungua case na wanakurefund hela yako na unaweza pata huo mzigo baadae sana
 
mkuu "asiwasiliane na muuzaji" sio kweli mimi pia nafany haya mambo mala nyingi kabla ya kuweka oda nafanya mazungumzo na muuzaji kwaajili ya kunipa punguzo la bidhaa yake!
Mkuu hujanielewa. Nadhani hata mimi umeona email niliyoweka baada ya kuwasiliana na muuzaji.Kama hujaiona nenda post namba 14. Ninachosema mimi ni asiwa-bypass eBay na awe anawasiliana na kulipana na muuzaji moja kwa moja. Kila kitu kiwe through eBay.
 
Nashukuru sana mkuu
Halafu mkuu uwe makini na watu wanaokuambia utumie watu wengine. Kama unaweza kufanya mwenyewe fanya. Sidhani kama kuna kitu cha kushinda mtu mpaka utumie huduma ya third part. Wanaweza kuwa wana uhakika lakini mh.... Fedha ni kitu ingine. Kaa chonjo!
 
Back
Top Bottom