ITV swali lenu ni la kujikomba. Hilo sio swali la kuuliza kwa mustakabali wa taifa letu.
Swali la kutokujikomba lingekuwa:
Je kuwapelekea madakitari wetu Kenya, ina maana Tanzania madaktari wamejitosheleza na hospitali, vituo vya afya na zahanati zina madaktari wa kutosha?
Swali lenyewe la kipimajoto;
"Tanzania kuridhia madaktari 500 kwenda kufanyakazi nchini kenya.Je, ni mfano wa kuigwa na nchi nyingine katika kudumisha ujirani mwema?