Mange azidi kumwanika Makonda uhusiano wake na GSM

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,303
23,055
Wakuu..
Huku tukiendelea kupata Mubashara kutoka Arusha, leo imebainika wazi ule uhusiano wenye mashaka kati ya makonda na GSM.

Kuna email ilikuwa inatumwa kwa Rais wa GSM kutoka kwa meneja wa GSM mall kwamba mke wa Makonda alituma maagizo kuwa Mheshimiwa Makonda aliagiza dining table na makarakacha mengine.

Ushahidi huu unaonesha pia kwamba Makonda huwa anakwenda kuchukua mali nyingi pale GSM bila kulipia.

wp_ss_20170318_0002.png
 
Back
Top Bottom