Crocozilla
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 469
- 335
Kwa wauzaji wa nguo hasa singlet au VEST kwenye kola zimeandikwa CNT rangi iwe nyeupe zinahitajika size M. Nahitaji 12pcs. Niambie unapatikana wapi nakuja mwenyewe. Unaweza kunielekeza hapa hapa jukeaani au njoo Pam.
Ona picha hapa chini