Ndg :Wana jf nimejiuliza maswali kuusu watu wanao piga kelele hasa kwenye mitandao wakitoa POVU,, kuusu uhalali wa vyeti vya mh. Mkuu wamkoa Wa Dar es Salam,,
Mimi najiuliza kupiga kelele kwenye mitandao ndo njia sahihi yakufikisha ujumbe kwa mwenye power ya kutengua uteuzi wake?? Jibu Kama hapana kwanini msifate njia sahihi hata mkajikusanya wote wote ambao mnahoji mkaenda kwa muhusika akawapa ufafanuzi sahihi?
Jibu Kama Ndio tangu muhanze kutoa POVU Mbona mh. anaendelea na majukumu yake ya mkao?? Izo kelele zinawasaidia Nini??
Na Kama mna udhibitisho kwamba vyeti vyake siyo halali na yeye amekaa kimya kwanini nyie mnao piga kelele msitoe vyeti halali ili familia ya Wana dar es Salam ikaona na ikadhibitisha mnachopigia kelele kuwa ni chaukweli????
Kama mnapiga kelele na vyeti vyakudhibitisha uhalali wenu wa kelele hamna POVU mnalotoa inawasaidia Nini??? Koz mnashindwa kudhibitisha mnachotolea POVU,, na mnae muhumu yako kmya anapiga kazi kila siku mshahara anapata na maendeleo ya dar Mpya ya mh. Yanaonekana ilo halihitaji PHD Kuona,,,
Ahsanten