Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tarehe 16/3/2017, mama mmoja anasadikika kumuua mwanawe kwa kumkata viungo na kumtumbukiza chooni,na kiungo kingine kukila. Mama huyo ni mkazi wa kijiji cha Kwamaganga wilayani Handeni,mkoa wa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mkazi wa kijiji cha Kate, wilayani Nkasi, Mkoa wa Rukwa, amejikata uume wake kwa kisu kwa hasira baada ya kuota kuwa anafanya mapenzi na mke wake aliyefariki mwaka mmoja uliopita. Mwanaume huyo...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Takribani mwezi mzima sasa gazeti hili halipatikani mtaani.Nakumbuka baada ya kuanza sakata la Manji na kutuhumiwa utumiaji wa madawa ya kulevya gazeti la JamboLeo ndio likapotea jumla. Je...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mahakama ya Wilaya ya Mlele, mkoani Katavi imemuhukumu Roza John kwenda jela miaka 20 kwa kupatikana na tuhuma za kumiliki nyara za serikali kinyume na utaratibu. Akisoma mashtaka hayo, Hakimu...
0 Reactions
2 Replies
748 Views
Mwanzoni mwa movie baina ya Makonda na aliowatuhumu ktk harakati za madawa ya kulevya, Mchungaji Gwajima alikuwa miongoni mwa waliotajwa hadharani! Gwajima hakuchelewa akajibu mapigo na kwa...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
wakubwa kuna kitu kidogo sijakielewa hivi majuzi nilikuwa nafatilia hati ya kiwanja changu ambapo hata hivyo ni muda mrefu nilifatilia kama mnavyojuwa usumbuf wake so juz ndo nimekamilisha fomu...
0 Reactions
4 Replies
943 Views
From @ericshigongo - Wiki Chache zilizopita nilimsifia Paul Makonda hapa, lakini kwa anachodaiwa kukifanya Clouds usiku, nafuta sifa nilizompa! Hafai kuwa kiongozi. Kwa Mahali tulipo kama taifa...
3 Reactions
31 Replies
9K Views
Wahudumu wenu wamelala. Receiver wameweka pembeni, namba zote zina onekana ziko busy, nimeweka simu sikioni kwa zaidi ya Saa mzima nina shida nahitaji msaada, nashangaa huduma kwa wateja Saa nane...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Ref: Ndugu husika na kichwa cha habari hapo juu. Wenu mtiifu Wasaalamu
0 Reactions
7 Replies
945 Views
Kiongozi ana maono (vision). Anaona picha kubwa (bigger picture) na maamuzi yake huwa yanaendana na picha kubwa pamoja na maono. Meneja anaona picha finyu na maamuzi yake yanaendana na picha finyu...
1 Reactions
0 Replies
589 Views
Mganga: Ili taifa lako na uongozi wako udumu, utamteua kiongozi mmoja kati ya watawala wako, na miiko yote itakaa kwake. Haya ndiyo masharti yako:- 1. Hautamuondoa madarakani hata kama atatenda...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa hili Muvi la Mange Kimambi, Makonda na Gwajima. Ni bora kuishiwa Damu Kuliko Bando Maana Yake ukikaa masaa mawili bila kuzama mtandaoni unapitwa na mengi...
0 Reactions
1 Replies
888 Views
Mi sijawahi msikia Bashite akiongea kingereza Vipi wewe uliwahi msikia?
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Wakuu yuko wapi mtumishi huyu wa Mungu? Nakumbuka miaka Fulani ya nyuma aliweza kusimama na kukukosoa kile alichoamini hakiko sahihi hapa nchini imekuwaje amekua kimya kusema chochote ninatamani...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Wakuu naomba kuuliza hili swali kwa kuwa siku za kufanya kazi huku Tanzania ni Jumatatu hadi Ijumaa, lakini ukizingatia Zanzibar ni waisilamu wengi ambao siku ya Ijumaa kwao ni siku ya kusali...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Polisi Kibaha yafanya msako wa shamba hadi shamba kukamata wavamizi wa mashamba Bagamoyo Mapinga. Zoezi lilombatana na gari za FFU na askari kazi likiwa limeendeshwa na SP bakari kutoka Makao...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa TAPSEa taifa akimkaribisha mgeni rasmi mama Tunu Pinda Mama Tunu Pinda mlezi wa TAPSEA akikabidhiwa zawadi. Hii mikutano ya makatibu wauhtasi ilifanyika kila mwaka kipindi cha...
0 Reactions
36 Replies
8K Views
Written by Abdul Zakinthos // 16/03/2017 // Habari // Maoni 8 Katika hali isio ya kawaidaa Serikali ya Muungano imezuia ndege ya kufanya utafiti wa kutafuta mafuta katikq visiwa vya...
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Sheria haimkatazi mtu kupanga sehemu halafu naye akaamua kumpangisha mwingine. Hili lipo na si kinyume cha sheria kufanya hivi. Na zaidi hata huyu aliyepangishwa naye...
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Back
Top Bottom