Mkuu wa wilaya ya Rombo Bi Agnes Hokororo,DAS:Abubakar Asenga na askari polisi leo alfajiri wamekamata magari yaliokuwa yakisafirisha mirungi kutoka Tarakea kwenda Arusha baada ya kipata taarifa...
Ni ajali imetokea mdaa huu baada ya gari la abiria kugongana na gari ndogo(pte), chanzo cha ajali hiyo haijajulikana nini kimesabsbisha lakini kwa tetesi za baadhi walioshuhudia tukio hilo...
Jamani leo nimenunua umeme wa LUKU kwa mara ya kwanza tangu mwezi wa May uanze,ninachofahamu ni utaratibu wa kuwa ukinunua umeme mara ya kwanza kwa mwezi uwa kuna tozo la kama Tsh6700 kwaajili...
Shirika la ndege la Malawi, Malawi Airlines, lilifanikiwa kukamilisha safari ya ndege iliyosimamiwa na wanawake pekee.
Ndege hiyo ilitua katika uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es...
Salaam waungwana,
Jana usiku petrol ilisababisha moto na kuuwa watu watatu ambae ni baba, mama na mtoto, moto huo huko katika kijiji cha Shumba Mjini Wilaya ya Micheweni Pemba.
Petrol hiyo...
MKUU WA MKOA ANUSURIKA KIFO KWA KUGONGWA NA GARI AKIFANYA MAZOEZI ASUBUHI HII
onMarch 18, 2017
Watu wawili wamenusurika kifo baada ya kuwagonga wananchi waliokuwa katika mazoezi asubuhi ya leo...
Kinachoendelea naweza kukifananisha mechi ya Simba na Yanga au Mabingwa wawili wa NGumi.
Huku wananchi wakipambana kuweka dau nani zaidi, na wengine wakikaa kimya kama washabiki wa Arsenal...
Licha ya watu wengi kuzungumza mengi kuhusu kile kinachodaiwa kuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam 'kuvamia' ofisi za Clouds Media kwa lengo la kuwatisha vijana wachapakazi wanaopendwa mpaka na...
Katika hali ya kushangaza kabisa baada ya tukio zima la kutia aibu kama siyo pia la kusikitisha ambalo lilifanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Christian Makonda ( siyo jina lake halisi )...
Asalam aleykum,naomba nitoe ushauri wangu kwa makampuni yote yanayotoa huduma ya bundle nchini kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya data kwa watumiaji wa smartphone kutokana na hii scandal ya Mr...
Jioni hii saa moja sehemu za Makonde barabara ya Bagamoyo, Mchungaji Hezekiah Mwakisu amegongwa na gari akivuka barabara. Amefariki pale pale na gari lilomgonga kutokomea.
Mungu aiweke roho yake...
Ama kwa hakika mungu hamfichi mnafiki..clouds wameingia choo cha kike.baba askofu twende mahakamani tukawashtaki kwa kukuchafua .
Wafilisiwe..wamezoea midebwedo..wanajifanyaga wanajua sanaa
Kutoka kwa Comred Dotto Bulendu
Rais John Magufuli,mkuu wa mkoa wa Dsm ni msaidizi wako,anaongoza mkoa mkubwa,kitovu cha biashara,ilipo Ikulu,walipo mabalozi,yalipo makao makuu ya vyombo vya...
Yaaan kuna mambo yanayoendelea nchini kwangu inafikia hatua watu tunapoteza muelekeo wakufanya mambo ya maendeleo kwa sababu tu ya watu wachache wenye kujivuna wenye dharau wenye kutumia madaraka...
Kwa hili lililotokea ndo tutajua mbivu na mbichi. Katika historia ya Tz hakuna rais amekuwa na mahaba na kituo cha habari mpaka kupitia hatua ya kupigia sim mara kwa mara hata kwa habari za...
UJUMBE WA WAZI KWA MH RAISI JOHN JOSEPH MAGUFULI
Salam mkuu
Naandika huu ujumbe leo saa 03:07 usiku
Kabla ya yote naomba nikupongeze na kukupa pole kwa kazi kubwa unayoifanya ya kuiongoza nchi...
Wakuu Television alimaarufu kama Video zilisumbua sana wakati zinaingia, Mimi nakumbuka Tv tulikuwa tunachungulia dirishani, Kwenye mtaa mzima TV ni moja Huruhusiwi kuingia ndani ya nyumba yenye...
Leo naomba tupate somo dogo la tofauti kati ya ujambazi na ugaidi.
Ujambazi ni kitendo cha mhalifu kuvamia raia asiye na hatia kwa madhumuni ya kujipatia mali za harakaharaka kwa nguvu ya silaha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.