African countries bana, waeza lala usingiz wa miaka 30 ukiwawaza viongoz wa Afrika
Labda tuanze kwenye uhaba wa madaktar kenya unatokana na nn?
Jibu: Mgomo
Sasa how comes wasitatue huo mgomo na madaktar wao?, Kwann wafanye replacement? Tena sio ndan ya nchi bali kwa kuimport watu wengine?
Its okay kwamba we are east african countries tunaweza kubadlishana lakn hapa knachofanyika n kuwakomoa wale waliogoma.
Sema uzuri wamepata na mwenye nyumba mkomoaji tu ndomana wanapewa bila reasoning wala questioning....It is ve hard to understand ila waonavyo wao n sawa tu...
Waeza kujiuliza kwahyo hawa madaktar wa Tanzania wao ndo wataweza kuishi vzuri kwenye nchi ya ugenn bila hizo benefits ambazo wenzao wamezitaka hawakupewa adi ikawapelekea wamegoma? Au wapo tayari kusishi mazngra yoyote tu ilmrad nchi ya nnje Kenya...kiufupi wanakosea kwa nionavyo mimi
Kingine ukiwa kama Baba huwez mtoa mwanao akaishi kwa mateso kwa jiran ikiwa unajua fika watoto wa jiran wamekimbia kwao kwa shida, kutokupewa mahitaj ya muhimu na kutokusiklizwa, inamaana hauna uchungu na wanao uwapeleke hapo hapo? Kwa uzuri upi wa wanao ambao unahis wao watapewa watakachokitaka ikiwa wazaliwa wa jiran yako wamenyimwa.... Kwamba wa kitanzania watayaweza hayo maisha? Bila shida kabisa? Kwamba wao wamezoea kuishi Kafka mazngra magumu na kazi zkaenda bila matatizo?
Inasahaulika kuwa na hawa wakwetu pia huwa wanagoma sasa ngoja wakagome tuone kama haijaonekana wametumwa wakafanye makusudi, ndo tutakapobadlishana mlima klmanjaro na loss watakayosababisha madaktar wetu ikiwa watagoma
Ni Africa tu, tena EAST pekee