Kwa maana ya kwamba ni cheo cha HESHIMAHatambuliki kwenye katiba. Hakuna cheo hicho kabisa. Ni heshima tu anapewa kama mke wa raisi
thanxNi kumpikia mkulu
Na raisi akiwa mwanamke mumewe abaitwaje?
ha ha ha! et shilawadu! we kiboko nimekupenda kwa uchochezi huu!Kazi yake ni kubwa sana, fikiria stress zote anazokuwa nazo mkulu yeye ndiyo kama net. Baada ya kusikiliza SHILAWADU na kusoma shombo za JF na kikao cha mawaziri bila kusahau kutumbua majipu.
Ndio, ni heshima tu anapewa. Hana mamlaka yoyote kwenye Nchi hii
Anaitwa "first man"Na raisi akiwa mwanamke mumewe abaitwaje?
Lile la kujigi jigi?!Jukumu kubwa ni lile la kiapo cha ndoa