Maajabu ya kutumia majina feki kujiendeleza kielimu, nilichoshuhudia!

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,052
24,442
Ni miaka mingi sana imepita takribani 20 tokea nilipopotezana na rafiki yangu mmoja hivi na sikujua alipo ni wapi!

Kwa bahati nzuri huyo rafiki yangu anaye mdogo wake ambae nilikuwa naonana nae mara kadhaa na nilipomuuliza alipo aliniambia anajua yupo mjini lakini hajui anachofanya, basi nikamuomba mawasiliano akanipa!

Nilipomtafuta alipatikana na nilivyomuuliza kama yeye ndie fulani alikataa ila akasema mimi ananifahamu, nilishtuka kidogo!

Ila tuliendelea kuwasiliana mara kadhaa ndipo akanielekeza anapoishi nikasema ngoja niende nikaonane nae japo nlikuwa na mashaka juu ya mtu ninayekwenda kuonana nae angali alisema si yeye mwenye jina nililomtajia!

Nilipofika la hasha nilikuta mtu mwenyewe ndie yeye, ila pale nilipotamka jina lake tu halisi uso wake ukabadilika ghafla kwa kushtuka kidogo kisha
akapotezea!

Maajabu yalianza pale wenzake walivyokuja pale na kuanza kumwita jina tofauti ambalo sijawahi sikia akiitwa popote tokea nimekua nae, maana huyu jamaa nlikulia naye kijiji kimoja, mtaa mmoja na shule tulisoma moja angali tuliachana darasa moja ila yeye alipofika darasa la saba hakufanikiwa kuendelea!

Nilizidi kushangaa maana yupo kwenye kitengo nyeti sana huko anakofanyia kazi, nilitaka nimuulize juu ya majina anayotumia ilikuwaje nikaona kwa kuwa ndio nilionana nae tokea miaka 20 iliyopita niache kwanza!

Nilikuja kugundua baadae kuwa majina anayotumia hapo alipo yote matatu ni tofauti kabisa na yale yake ya awali na hata nlipojaribu kumuita jina lake la awali aliniambia nisimwite hili nimwite hilo jipya!

Kwa kweli ulimi wangu umekuwa mzito kulitamka hilo jipya...!

Ama kweli kughushi vyeti unakosa amani na raha kabisa hata kama ulipata kazi nzuri na yenye mshahara mnono!

Na hii inathibitisha serikalini kuna vigogo wengi mno wanaotumia majina ya kughushi!

Hivyo zoezi la uhakiki wa vyeti likifanywa pasipo kuwa na double standard hakika %60 ya wafanyakazi wakamatwa.
 
Ni miaka mingi sana imepita takribani 20 tokea nilipopotezana na rafiki yangu mmoja hivi na sikujua alipo ni wapi!
Kwa bahati nzuri huyo rafiki yangu anaye mdogo wake ambae nilikuwa naonana nae mara kadhaa na nilipomuuliza alipo aliniambia anajua yupo mjini lakini hajui anachofanya, basi nikamuomba mawasiliano akanipa! Nilipomtafuta alipatikana na nilivyomuuliza kama yeye ndie fulani alikataa ila akasema mimi ananifahamu, nilishtuka kidogo!
Ila tuliendelea kuwasiliana mara kadhaa ndipo akanielekeza anapoishi nikasema ngoja niende nikaonane nae japo nlikuwa na mashaka juu ya mtu ninayekwenda kuonana nae angali alisema si yeye mwenye jina nililomtajia!
Nilipofika la hasha nilikuta mtu mwenyewe ndie yeye, ila pale nilipotamka jona lake tu halisi uso wake ukabadilika ghafla kwa kushtuka kidogo kisha akapotezea!
Maajabu yalianza pale wenzake walivyokuja pale na kuanza kumwita jina tofauti ambalo sijawahi sikia akiitwa popote tokea nimekua nae, maana huyu jamaa nlikulia naye kijiji kimoja, mtaa mmoja na shule tulisoma moja angali tuliachana darasa moja ila yeye alipofika darasa la saba hakufanikiwa kuendelea!
Nilizidi kushangaa maana yupo kwenye kitengo nyeti sana huko anakofanyia kazi, nilitaka nimuulize juu ya majina anayotumia ilikuwaje nikaona kwa kuwa ndio nilionana nae tokea miaka 20 iliyopita niache kwanza!
Nilikuja kugundua baadae kuwa majina anayotumia hapo alipo yote matatu ni tofauti kabisa na yale yake ya awali na hata nlipojaribu kumuita jina lake la awali aliniambia nisimwite hili nimwite hilo jipya!
Kwa kweli ulimi wangu umekuwa mzito kulitamka hilo jipya...!
Ama kweli kughushi vyeti unakosa amani na raha kabisa hata kama ulipata kazi nzuri na yenye mshahara mnono!
Na hii inathibitisha serikalini kuna vigogo wengi mno wanaotumia majina ya kughushi!
Hivyo zoezi la uhakiki wa vyeti likifanywa pasipo kuwa na double standard hakika %60 ya wafanyakazi wakamatwa...

Mkuu endapo zoezi la uhakiki wa elimu likizingatiwa kwa asilimia 100% ninaamini baraza la mawaziri litavunjwa , wanajeshi wengi sana watapukutika, askari polisi nao wengi sana watapukutika na si ajabu hata aliye juu naye itabidi aondoke! Elimu yetu imejaa ujanja ujanja mwingi sana nenda vyuo vikuu uone namna watu wanavyoonga malecture ili kupata maksi nzuri! kuna lecture yupo pale UDSM business school dep ya marketing jamaa anapenda sana movie aka series miaka hiyo nasoma pale ilikuwa ukiwa na hizo movie ukimpelekea tu anatoa pepa yoooote!
 
Kabisa mkuu, kwenye majeshi huko ni balaa!
Wakigusa huko, ni hatari tupu 85% wanafyekwa!
 
Mzee kamuone shigongo akupe page uwe unashusha hadithi umejitahidi sana kuwakilisha ujumbe WA mzee WA uvamizi mida ya usiku...
Aka majina sio yake
 
Bashite angekuwa mtoto wa Don kwenye movie la Kimafia. Leo hii angeitwa sebuleni kwa mshua. Angepewa glasi ya mvinyo wangegonga cheers. Kisha mshua angemuambia *"Good Boy"* ...Baada ya hapo angepewa kipigo cha nguvu kinoma na kuambiwa *"Watoto wa Madon hawafanyi movie za kifala na kibwege kama hizo."*
 
Back
Top Bottom