Mikutano ya Makatibu Wauhtasi TAPSEA

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,720
215,773
q.jpg


6.jpg

Mwenyekiti wa TAPSEa taifa akimkaribisha mgeni rasmi mama Tunu Pinda
GO9G2907.jpg

Mama Tunu Pinda mlezi wa TAPSEA akikabidhiwa zawadi.

GO9G2755.jpg


Hii mikutano ya makatibu wauhtasi ilifanyika kila mwaka kipindi cha awamu ya nne, ni nini kimetokea.
 
Honestly hii taaluma bado ipo karne hii?
Siku hizi kuna Office Management Officers. Mawasiliano mengi ni email. Kiongozi anazipata na kujibu mwenyewe.
Watakuwepo ofisi zinazoendekeza ujima!
 
Honestly hii taaluma bado ipo karne hii?
Siku hizi kuna Office Management Officers. Mawasiliano mengi ni email. Kiongozi anazipata na kujibu mwenyewe.
Watakuwepo ofisi zinazoendekeza ujima!
Hii taaluma 99.9% ni sisi wabeijing lakini awamu ya nne ilipewa platform sana.
 
Ni taaluma inayokufa / iliyokufa. Hivi pale Magogoni bado kuna kazi yake au wamebadili?
Bado course ipo Magogoni na Tabora. Hii kazi imebaki kwenye maofisi makubwa na ofisi za ubalozi. Kwa jina lingine wanaitwa diary secretary, kwani unapanga diary ya boss na kufanya flight na hotel bookings kila anakokwenda. Unaandaa watu wa kuonana nae na kupanga muda wa mikutano yake.
 
imekufa umeiua wewe. nenda ofisi kubwa kubwa utajua kazi zao zinaumuhimu gani. kozi magogoni bado zipo na soon wataanzisha degree. upo nyonyo
Tatizo Umetoka usingizi bila kusoma posts nyingine.
Angalia jibu la mleta thread kwanza. Then nimesena siku hizi kuna Office Management Officers!
 
Degree ya nini tena? hiyo kazi inakufa automatic yenyewe.
Haitakaa ife, na kuweka degree ni kupata watu makini kwa kazi. Ni kweli technology imerahisha mambo lakini bado madaktari wakishaona wagonjwa wanarecord to kwenye tape recorder na medical secretaries wana type barua kutoka kwenye tape. Zamani hawa waliitwa audio secretaries. Hakuna njia iliyogundulika ya kuweza kufanya haya pasi medical secretaries.
 
Ipo Magogoni Wanatoa Diploma
Ofisi Za Serikali Zote Hawa Wanahitajika Sana
Ni Fani Muhimu Sana


Fani Zipo Nyingi Sana Records Management, Librarian
 
Ipo Magogoni Wanatoa Diploma
Ofisi Za Serikali Zote Hawa Wanahitajika Sana
Ni Fani Muhimu Sana


Fani Zipo Nyingi Sana Records Management, Librarian
Miaka ya 70 wakati ule makampuni mengi ya kigeni kama Lonrho Brothers waliajiri ma-Goa katika fani hii, ninadhani ni kwasababu ya uwelevu wao wa ki-Engereza. Ujuzi wa lugha ni muhumi sana katika hii kazi.
 
Back
Top Bottom