Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 952
- 1,047
Mganga: Ili taifa lako na uongozi wako udumu, utamteua kiongozi mmoja kati ya watawala wako, na miiko yote itakaa kwake. Haya ndiyo masharti yako:-
1. Hautamuondoa madarakani hata kama atatenda kosa la namna gani.
2. Utamlinda kwa nguvu zako zote.
3. Japo atakuwa mwenye kibuli na katili lakini usimuondoe madarakani.
Siku ukimuondoa madarakani utawala wako utakoma siku hiyohiyo.
Aliye na jicho aitazame nchi ile ya Laurencia.