janjab
Senior Member
- May 28, 2015
- 172
- 56
wakubwa kuna kitu kidogo sijakielewa hivi majuzi nilikuwa nafatilia hati ya kiwanja changu ambapo hata hivyo ni muda mrefu nilifatilia kama mnavyojuwa usumbuf wake so juz ndo nimekamilisha fomu tayar kwa ajil ya kufanyiwa process ya kupata hati sasa wamenipa namba ya akaunt inayoitwa land rentation scheme sijajuwa hasa ni malipo gani hayo maana jamaa mwenyewe alikuwa na harak hakunifafanulia naomba kiwasilisha