Mapinga: Uvamizi wa mashamba sasa basi

Diplomatic Imunnity

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,179
318
Polisi Kibaha yafanya msako wa shamba hadi shamba kukamata wavamizi wa mashamba Bagamoyo Mapinga. Zoezi lilombatana na gari za FFU na askari kazi likiwa limeendeshwa na SP bakari kutoka Makao Makuu ya Polisi Kibaha na msaidizi wake wa kituo cha Mapinga OCS na kufanikiwa kukamata vinara wa ujambazi wa ardhi.

Wananchi walia na maisha yao hali ni tete sana

Chanzo: Mimi mwenyewe
9aa4c4ee34c39c4335d807c9a5475ff8.jpg
0fed618ceca8c42fd6aea7f8c19500dc.jpg
870c4ab0990b4a8d2f44f6d75e65d6e2.jpg

f53c2d8660fb8a5fe88e7ecafb212ccf.jpg
d0caef21925bf49546fb14129c47b2ce.jpg

0ceb621b146f27489743e429a465da99.jpg
e114025f399c9f3726cf618599ab9a30.jpg
 
Polisi kibaha yafanya msako wa shamba hadi shamba kukamata wavamizi wa mashamba bagamoyo Mapinga. Zoezi lilombatana na gari za FFU na askari kazi likiwa limeendeshwa na Sp bakari kutoka makao makuu ya polisi kibaha na msaidizi wake wa kituo cha mapinga ocs na kufanikiwa kukamata vinara wa ujambazi wa ardhi


Wananchi walia na maisha yao hali ni tete sana

Chanzo mm mwenyewe
9aa4c4ee34c39c4335d807c9a5475ff8.jpg
0fed618ceca8c42fd6aea7f8c19500dc.jpg
870c4ab0990b4a8d2f44f6d75e65d6e2.jpg

Only in Tanzania, sasa wavamizi wa mashamba / mameneo wanasakwa kwa mtutu wa bunduki au
mbinu kali za kipelelezi na inteligencia..??? sasa hapo kwa hali ya kawaida watamkuta nani zaid ya babu
mlima mihogo na tembele amabaye anakuwa kama mlizni wa maeneo ya watu.

Hakuna mwizi wa kiwanja anayeenda kukamatwa kwa njia za kienyeji namna hiyo kwani angekuwa
hata yule mnyama mwenye wivu aitwaye "nyegere au honey badger" asingekamatwa kizembe hivyo.
 
Wanajuaje kama kuna uvamizi? Nchi hii sijui inaendeshwa kwa misingi ya sheria gani
 
Back
Top Bottom