Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,993
Tarehe 16/3/2017, mama mmoja anasadikika kumuua mwanawe kwa kumkata viungo na kumtumbukiza chooni,na kiungo kingine kukila.
Mama huyo ni mkazi wa kijiji cha Kwamaganga wilayani Handeni,mkoa wa Tanga,kata ya Kwedizinga.Anaishi pamoja na mdogo wake katika kijiji hicho.
Siku ya tukio mdogo wake alitoka na kuelekea shamba.Aliporudi kutoka shamba aliona tofauti pale nyumbani kuwa mtoto hamuoni.Akamuuliza dada yake yuko wapi mtoto.
Dada Yake alianza kuongea uongo kuwa ametoka na kufuatana na muuza samaki.
Waliendelea na shughuli nyingine za kuandaa chakula cha mchana.Baada ya chakula kuiva,alimuuliza tena dada yake mtoto yuko wapi aje ale.
Dada hyo alijibu ,mtoto nimemchinja ,kichwa nimekitumbukiza choo kile na kiwiliwili choo kile,ila usimwambie mtu yoyote ni siri yako.
Baada ya kuambiwa maneno yale na dada yake hakuvumilia upuuzi ule.
Alinyanyuka na kwenda kutoa taarifa katika ofisi ya kijiji.
Mwenyekiti wa kijiji alipiga simu wilayani na askari kutoka wilayani walifika na wakavunja vyoo kukitoa kichwa na kiwiliwili.
Kiwiliwili kilionekana mguu mmoja hakina akaulizwa uko wapi mguu?Alijibu uko ndani ,alienda utoa na ulikutwa umechomwa upande na alishaanza kula upande ulioiva.
Aliletewa maji,akaambiwa amuoshe ,akaanza kumuosha kama unavyoona picha.
Alipomaliza kumuosha alikusanywa pamoja na marehemu,kupelekwa wilayani.