Alipewa masharti na mganga wake kwamba siku akiongea kiingereza ndo mwisho wa maisha yakeMi sijawahi msikia Bashite akiongea kingereza
Vipi wewe uliwahi msikia?
Ila juzi kwenye maadhimisho nilimsikia aliongea maneno kama matatu ivi ya kingereza... Ila siyakumbukiAongee Kiingereza? Unataka ulimi ukatike?
Kesho mapema sana nikukute kituo cha polisiYeye na boss wake kingereza awajui
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Aongee Kiingereza? Unataka ulimi ukatike?
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji118] KolomijeMnadhani kingereza ni sawa na kikoromije?
wee acha hizo bashite anajiita GraduateKwahiyo kiingereza ndo kipimo cha mtu mwenye elimu eeeeh? acheni kuwa washamba nyie... kumbe nyie ndo mnasababisha lugha ya kiswahili isikuwe kwa kuwa mnakitangaza zaidi kimalkia....shame on yoo.