KULIKONI GAZETI LA JAMBO LEO

masare

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,719
1,782
Takribani mwezi mzima sasa gazeti hili halipatikani mtaani.Nakumbuka baada ya kuanza sakata la Manji na kutuhumiwa utumiaji wa madawa ya kulevya gazeti la JamboLeo ndio likapotea jumla.

Je wafanyakazi wake wanaishije sasa
Mwenye taarifa atujuze
 
Tatizo walianzisha ugomvi wa mawe wakati wanaishi Nyumba ya vioo.
 
jamaa wamepata misukosuko so nafikir wameona wawe kwenye kipindi cha mpito wakiomboleza madhira alopata Bwana Kubwa
 
Back
Top Bottom