ZNM
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 1,218
- 1,278
Mwanzoni mwa movie baina ya Makonda na aliowatuhumu ktk harakati za madawa ya kulevya, Mchungaji Gwajima alikuwa miongoni mwa waliotajwa hadharani!
Gwajima hakuchelewa akajibu mapigo na kwa kuthibitisha kuwa hakusiki kutumia madawa ya kulevya alikubali kupimwa huku akiwaeleza endapo kipimo kitaonyesha hata matumizi ya sigara basi waandike ni madawa ya kulevya!
Niliupenda sana ujasili ule, na watu waliokuwa wakishadadia kumpakazia waliiaibika kisawasawa! Sasa hili la mtoto lililoibuka kuwa kazaa na yule dada anayemuita kichaa, kuna ugumu gani kuthibitisha DNA ili hawa wanaokomaa kuwa mchungaji kamtelekeza mtoto na mama yake waaibike?
Bila shaka mchungaji mtiifu huyu atakwenda kupima DNA tuone kama kweli mchungaji anawezaje kuzaa na mtu anayemuita kichaa!
Nawasilisha!