Erick Shigongo...Paul Makonda Hafai Kuwa Kiongozi Kwa Anachodaiwa Kufanya Clouds FM

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
16,420
30,793

From @ericshigongo - Wiki Chache zilizopita nilimsifia Paul Makonda hapa, lakini kwa anachodaiwa kukifanya Clouds usiku, nafuta sifa nilizompa! Hafai kuwa kiongozi. Kwa Mahali tulipo kama taifa hatuhitaji kiongozi wa aina hii hata kidogo.

Nampenda sana Rais John Pombe Magufuli, sipo tayari kuona rais wangu anatukanishwa na iasi hiki na matendo yanayofanywa na Mkuu wa Mkoa.

chanzo ; udakuspecial
NITAMPINGA MAKONDA KILA ANAPOFANYA YASIYOSTAHILI NA NITAMTETEA RAIS WANGU ANAPOTUKANISHWA!

E.J Shigongo
Tupe M
 
mkiambiwa kuna makabila tz yana asili ya ushamba hamtaki..hta wakienda shule ushamba hauwatoku. mtasema nachochea ukabila lakini ndo hali ilivyo. makabila mengine jamani yalipaswa kupewa kazi za jikoni tu. ona sasa tunawapa nafas nyeti wanazinyea. dah natamani ni nibadili kabila langu mm masanja.
 
From @ericshigongo - Wiki Chache zilizopita nilimsifia Paul Makonda hapa, lakini kwa anachodaiwa kukifanya Clouds usiku, nafuta sifa nilizompa! Hafai kuwa kiongozi. Kwa Mahali tulipo kama taifa hatuhitaji kiongozi wa aina hii hata kidogo.

Nampenda sana Rais John Pombe Magufuli, sipo tayari kuona rais wangu anatukanishwa na iasi hiki na matendo yanayofanywa na Mkuu wa Mkoa.

chanzo ; udakuspecial
NITAMPINGA MAKONDA KILA ANAPOFANYA YASIYOSTAHILI NA NITAMTETEA RAIS WANGU ANAPOTUKANISHWA!

E.J Shigongo
Tupe M
Kama unampenda na una no take ya sm c ungempgia kwanza ili ujihakikishie why alienda clouds ndi uje huku utuambie

Lakin c ulivofanya sasa huo ni unafiki Shi
 
  • Thanks
Reactions: SDG
tapatalk_1489939258385.jpeg
 
Ha ha haaaaa

Waliochokonolewa watazidi tu kujitoa tuwajue

Huyu alikuwa analia juzi nae kayaongea

Eeeh

Kweli hata bila kutaka kujua ukweli mmmmmh

Makonda oyeeeeeeeeee
 
Ulikurupuka! Muache tabia zenu za kukurupuka na kusifia uozo.

Back
Top Bottom