Zanzibar yaambiwa ikatafute mafuta ya ta Kwa mzee bakari sio Gesi

chilubi

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
8,187
6,243
Written by Abdul Zakinthos // 16/03/2017 // Habari // Maoni 8

Katika hali isio ya kawaidaa Serikali ya Muungano imezuia ndege ya kufanya utafiti wa kutafuta mafuta katikq visiwa vya zanzibar.

Akizungumza na mwaandishi wa habari Pailot wa ndege hiyo alisena walishindwa kuaza kazi kutoka na kuzuia kwa madai kuwa hawana kibali cha kufanya kazi hiyo.

Alipoulizwa kuwa Jeshi limewazuia alieleza kuwa hilo iulizwe kampuni ya RAKGAS L.L.C nq walipoulizwa viongozi wa kampuni hiyo walikata simu bila kujibu chochote.

Ndege hiyo ilitakiwa kuaza kazi siku ya Jumanne iliyopita lakini hadi leo kazi hiyo imeshindwa kuendelea.

Hii ni kuonesha kuwa Seriklai hii ya SMZ ni sawa ba Manispaa ambayo haina uwezo wa kuamua lolote licha ya kukimbilia kusaini sheria feki ya mafuta.

Habari hapo juu nimeitoa mzalendo.net.

Mimi nasema ivi, kila Zanzibar ikizuiwa kutafuta au kuchimba mafuta na wamiliki wa koloni hili ni kheri kwetu wazanzibari, tusiwe tunalia lia kwa kuzuiwa kuchimba mafuta, hii ni kheri yetu, wacha mafuta yabaki humo humo ardhini/baharini yalimo, yakichimbwa saivi nakuhakikishieni hakuna atakaetoka madarakani!!!! wacha tu tusiyapate sote
 
Back
Top Bottom