SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,030
Wakuu yuko wapi mtumishi huyu wa Mungu? Nakumbuka miaka Fulani ya nyuma aliweza kusimama na kukukosoa kile alichoamini hakiko sahihi hapa nchini imekuwaje amekua kimya kusema chochote ninatamani sana kama atajitokeza huko aliko na kuongelea mambo mbalimbali yanaendelea nchini iwe ni kwa kupongeza ama kukosoa kwani Nina imani mzee wetu huyu ana msimamo tofauti na baadhi ya viongozi wetu wengine wa dini utaodhani hawapo nchni wako kimya sana wakati taifa inahitaji kauli zao.Nawatakia jumapili njema watanzania wenzangu wote