Makampuni ya simu tumieni fursa

chanaga

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
344
190
Asalam aleykum,naomba nitoe ushauri wangu kwa makampuni yote yanayotoa huduma ya bundle nchini kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya data kwa watumiaji wa smartphone kutokana na hii scandal ya Mr Bashite kutumia fursa hiyo kwa kuongeza bei ya vifurushi ili Ku maximise profit,hivyo nashauri mb 2 ziuzwe kwa 1,000/.
Wasalam.
 
Be the first to reply,teh teh ztanunuliwa tu,maana hata msanii sasa hivi akitoa nyimbo hamna atakayeipakua,mb zina kazi maalum
Unajua zikiwa ghali ni sisi tu wenye we can afford na sisi sio wambeya kwa hiyo hata hii issue ya Bashite hisingekua viral
 
Back
Top Bottom