Sikiliza efm
Ndio imeshakufa... Mshahara wa dhambi ni mauti.!
Movie tamu sana hii ,ngoja nkaongeze bando
Mbona kunapigwa taarabu mida hii
ipo hewani nasikiliza taarabu hapaMda sio mrefu clouds imepotea gafla baada ya mtangazaji mussa hasan kusema kuwa kuna ugeni wa kamati ya bunge....... hapo ndipo matangazo yakapotea