Mkuu wa Mkoa Iringa anusurika kifo wakati akifanya mazoezi asubuhi

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,481
MKUU WA MKOA ANUSURIKA KIFO KWA KUGONGWA NA GARI AKIFANYA MAZOEZI ASUBUHI HII

onMarch 18, 2017
IMG_20170318_073852.png

Watu wawili wamenusurika kifo baada ya kuwagonga wananchi waliokuwa katika mazoezi asubuhi ya leo Jumamosi Machi 18, 2017 mjini Iringa huku mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza na katibu tawala Wamoja Ayubu wakinusurika katika ajali hiyo.
IMG_20170318_074416.png

Ajali hiyo imetokea nje ya lango la kamanda wa polisi mkoa wa Iringa dakika tatu tu baada ya kuanza mazoezi kuelekea uwanja wa Samora.

Ajali hiyo imesababishwa na dereva taxi kuwaparamia wafanya mazoezi hao.
 
MKUU WA MKOA ANUSURIKA KIFO KWA KUGONGWA NA GARI AKIFANYA MAZOEZI ASUBUHI HII

onMarch 18, 2017
View attachment 482617
Watu wawili wamenusurika kifo baada ya kuwagonga wananchi waliokuwa katika mazoezi asubuhi ya leo Jumamosi Machi 18, 2017 mjini Iringa huku mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza na katibu tawala Wamoja Ayubu wakinusurika katika ajali hiyo.
View attachment 482620
Ajali hiyo imetokea nje ya lango la kamanda wa polisi mkoa wa Iringa dakika tatu tu baada ya kuanza mazoezi kuelekea uwanja wa Samora.

Ajali hiyo imesababishwa na dereva taxi kuwaparamia wafanya mazoezi hao.
wacha Mungu aendelee kuwakumbusha hawa RCs na DCs kuwa wao si miungu - kuna siku wataja kufwa tu!
 
Kama upo attention kuna viongozi wawili wa serikali wamenusurika kifo asubuhi hii.

Natumaini israeli kashaghairi kutaka damu ya mtu siku ya leo.
 
Watu wawili wamenusurika kifo baada ya kuwagonga wananchi waliokuwa katika mazoezi asubuhi ya leo Jumamosi Machi 18,2017 mjini Iringa huku mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza na katibu tawala Wamoja Ayubu wakinusurika katika ajali hiyo.

Ajali hiyo imetokea nje ya lango la kamanda wa polisi mkoa wa Iringa dakika tatu tu baada ya kuanza mazoezi kuelekea uwanja wa Samora.

Ajali hiyo imesababishwa na dereva taxi kuwaparamia wafanya mazoezi hao
IMG_20170318_060653.jpg

90617553e4d8166d0bba77d4021e3a67.jpg
 
Back
Top Bottom