Tempon
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 234
- 382
Wakuu Television alimaarufu kama Video zilisumbua sana wakati zinaingia, Mimi nakumbuka Tv tulikuwa tunachungulia dirishani, Kwenye mtaa mzima TV ni moja Huruhusiwi kuingia ndani ya nyumba yenye Video au ukiingia unakaa chini sio kwenye makochi, Siku mshua ameleta Video nyumbani nilikesha sebuleni, karibu mwana jamvi mwenzangu ushare mkasa wa video miaka hio ulikukumbuka!