Rombo kumekucha leo na vita ya mirungi

ray jay

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,084
485
78f13334eb109e2adb3a9a7f7f1eea81.jpg


32ba525702d3f5aebd396136e57d3dcb.jpg


Mkuu wa wilaya ya Rombo Bi Agnes Hokororo,DAS:Abubakar Asenga na askari polisi leo alfajiri wamekamata magari yaliokuwa yakisafirisha mirungi kutoka Tarakea kwenda Arusha baada ya kipata taarifa toka kwa Raia wema.

Rombo bila madawa inawezekana.
Tuungane Wanarombo

0f0ea3d98c9241fdc1c35fba4c9b5022.jpg


 
Nilifikiri wana "oparesheni" maalumu ya ujenzi wa vi-wonder,kumbe ni milungi!Wakimaliza move yao ya kupiga picha milungi,waambie watuoneshe walau mtu mmoja aliyeathirika na sasa yupo "sober house"kwa sababu ya matumizi ya milungi.

Wakenya walioruhusu matumizi ya milungi hawana hata teja mmoja wa milungi,sisi tunakimbizana na milungi eti ni dawa za kulevya.
 
Hivi kazi ya DAS siku hizi imekuwa ni kuzurura mitaani kutafuta wauza mirungi na gongo? Au ndiyo haya yanafanyika ili tuamini hii serikali kila mtu kambale?
 
Hiyo ofisi ya mkuu wa wilaya ipo karibu na kituo cha polisi hao askari jirani walisha acha kula unga na pombe?
 
Maskini wamekula hasara ya kutosha,,,mtoa taarifa sio raia mwema Na yy Ni muuzaji kawachomea wenzake tuu kwa tofauti zao
 
Back
Top Bottom