GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,426
- 120,782
Katika hali ya kushangaza kabisa baada ya tukio zima la kutia aibu kama siyo pia la kusikitisha ambalo lilifanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Christian Makonda ( siyo jina lake halisi ) juzi usiku katika Kituo cha tv cha Clouds muda mfupi ujao Bosi na Mkurugenzi wa Vipindi na Utafiti Bwana Ruge Mutahaba anaenda kumtetea Makonda.
Kwa habari za Kiuchunguzi kabisa zinasema kwamba ni kweli tukio lilifanyika na hata Mabosi Wakuu wa Clouds Media Group Kusaga na Mutahaba walikasirishwa mno na Kiktendo kilichofanywa na Makonda lakini baada ya mmoja wao kuitwa na KUTISHWA na wenye Mamlaka na hii nchi hatimaye Ndugu Ruge Mutahaba amekubali KUUPINDISHA ukweli wote ambao kimsingi Watanzania wengi tumeuona.
Katika Interview ambayo Ruge Mutahaba anaenda kuifanya muda mfupi ujao tegemeeni haya yafuatayo:
Pole sana Ruge Mutahaba najua umetishwa mno jana huku pia ukiogopa kupoteza MASLAHI yako na kibaya zaidi najua umekubali yaishe ILI tu Makonda asiliibue lile sakata lako ambalo nafahamu unalijua mno ambalo linakusaidia pia kukuweka hapa mjini.
Kwa kukusaidia tu tuna Watu wetu hapo hapo Mjengoni Kwako Clouds Media Group ambao wametupa UKWELI wote. Tunasubiri ufanye hiyo propaganda yako ili na sisi tusiopenda UNAFIKI wako / wenu TUFUNGUKE zaidi.

- Anaenda kumtetea kwa nguvu zote Makonda huku akitumia muda mwingi kumsifia.
- Anaenda kusema tukio halikutokea Clouds bali lilitengenezwa tu.
- Anaenda kusema Makonda hana Uadui na Clouds Media Group.
- Anaenda kusema Makonda anafanya Kazi nzuri kwa Tanzania.
- Anaenda kumgeuka Mchungaji Gwajima kwa nguvu zake zote.