Tanzania nchi yangu

shelumwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
516
189
Yaaan kuna mambo yanayoendelea nchini kwangu inafikia hatua watu tunapoteza muelekeo wakufanya mambo ya maendeleo kwa sababu tu ya watu wachache wenye kujivuna wenye dharau wenye kutumia madaraka vibaya

Ni jambo la kushangaza sana mvamiaji yupo nyumbani anapunga upepo lakini alievamiwa ndio anang'atwa na mbu kituo cha polisi kikuu

Mambo haya na mengine hayatokeo mbali ni HAPA HAPA TANZANIA

NCHI IMEPOTEZA MUELEKEO KABISA INAKWENDA KAMA KUKU ALIEKATWA KICHWA INAKIMBIA ISIPOKUJUA

POOR TANZANIA
TUNAHITAJI MFUNGU WA MWEZI MZIMA NA MAOMBOLEZE PAMOJA NA KUVAA MAGUNIA ILI NCHI IENDESHWE KWA HAKI.
 
Back
Top Bottom