muzi
JF-Expert Member
- Jun 17, 2016
- 1,048
- 1,479
Kwa hili lililotokea ndo tutajua mbivu na mbichi. Katika historia ya Tz hakuna rais amekuwa na mahaba na kituo cha habari mpaka kupitia hatua ya kupigia sim mara kwa mara hata kwa habari za kawaida saaaana. Pia katika vituo vya redio na television ambavyo ni vingi, ni kituo kimoja tu ndo kinapigiwa......sasa tujiulize haya mahaba yana maana gani and not others. Mtuhumiwa amekuwa akirushwa LIVE kwa matukio mengi ambayo mengine hayana umuhimu kwa taifa. Sasa kwa maudhui hayo unafikiri hii kesi itamwegemea nani. Hebu tuwasikilize kwanza tuendelee baadae