Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Ni ajali imetokea mdaa huu baada ya gari la abiria kugongana na gari ndogo(pte), chanzo cha ajali hiyo haijajulikana nini kimesabsbisha lakini kwa tetesi za baadhi walioshuhudia tukio hilo wanasema chanzo ni muendeshaji wa gari ndogo ambae alikua anachati kupitia sim yake ya mkononi wakati anaendesha gari. Muendeshaji wa gari ndogo alikuwa ni mwanamke ambae ameacha upande wake na kuingia kati kati ya Barabara, gari la abiria limevunjika kioo cha mbele kwa bahati iliyo njema mlikuwa hamna abiria .