Baba Askofu Gwajima nenda mahakamani, Clouds hawachomoki kwa hili

clouds hawajamtangaza, walizuia kutangaza, ila radio uhuru ndio wametangaza. hivyo akawashitaki radio uhuru pamoja na independent journalists wa cluds wale aliowataja majina, ila hatawashitaki clouds as a company.
 
Balshite amewanyima ugali akina soudy na jamaa yake sasa sijui km wataendelea na kipindi au yaani lifa fa fa limoja limesababisha tafrani mjini
 
Ama kwa hakika mungu hamfichi mnafiki..clouds wameingia choo cha kike.baba askofu twende mahakamani tukawashtaki kwa kukuchafua .

Wafilisiwe..wamezoea midebwedo..wanajifanyaga wanajua sanaa
Hakuna haja ya mahakama ya duniani. Iko mahakama ile iliyoizuia katiba fake waliyoichezea mound iko bungeni
 
Clouds hakuna baya waliofanya Bali wako sahihi kabisa kwani wangerusha ndio wangeonekana wanabase upande mmoja lakini hawakufanya hvyo kwani we mtoa mada umesikia akina soudy wamemhoji yule mama?
 
Back
Top Bottom