Magu hiyo sasa dharau... Mungu anakuona.

Nanoli

JF-Expert Member
Oct 15, 2015
3,735
5,970
Kwa kuonyesha dharau na jeuri juu ya wananchi wako waliokuchagua.. Unadiriki kuwaita wambea na kuwaambia huwezi kuwasikiliza kilio chao kwakua umeamua kuonyesha mapenzi Kwa mwanao wa pekee Bashite.
Ukiwa kwenye safari zako, unakutana na wananchi wanaokusimamisha na kupaza sauti zao kutoa kero wanazokumbana nazo, nawe umekua ukitoa hukumu hapo hapo na kuwatumbua wanaotuhumiwa bila kufanya uchunguzi, je' hukuona Kama ulikua unalapangiwa kufanya maamuzi.. Umekua Rais wa kauli mbili.
Mtu mmoja ambaye leo amekuvuruga akili mpaka ukawasahau hawa waliokufanya uwe jeuri na kufanya unachotaka, sio bora kuliko kipenzi chako.
Magu huoni thamani ya watu hawa waliovamiwa na kutishwa silaha nzito ambazo ktk maisha yao hawakutarajia kuziona maeneo ya kazi hasa kwa mtu ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa...kumbuka uliwapigia cm wakiwa studio ukawasifu na kuwaambia unafuatilia vipindi vyao (pamoja na SHILAWADU) leo unatangaza kwa watu kuwa wanaongalia vipindi hivi no WAMBEA, huoni Kama unawaharibia biashara yao hawa waliokunadi Kwan muda mrefu? Magu umewakosea saana wananchi wako... Ulipaswa kuwa waziri, labda ungekua unaonywa na mwenye busara pale juu, ila kwakua umekua juu, sema chochote tu lakini unakosea wananchi wako..... UKITAKA KUWA MUONGO, UWE NA KUMBUKUMBU YA ULICHOONGEA JANA...
 
Back
Top Bottom