cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
Jana nimeipata hii list ya nchi zenye/zisizo na furaha dunia
yani na sisi tunao semekana ni nchi ya amani kumbe mioyo yetu imejaaa uchungu na majonzi
sijui ni sababu ya mukulu au La ?
Kweli Syria na yemen wanaolipuana kila siku wanafuraha kuliko wabongo? Nimeamini Dunia ya Mungu vitu vya mzungu.
Naombeni mnipe muongozo mazee nimejiangalia mimi mwenyewe kama sample tu ,ni kweli sina furaha ic
Sasa swali ninalo jiuliza ni kunafaida gani ya kua mabingwa wa Amani bila kua na furaha,?
hata hiyo amani tunayo jivunia ni amani gani wakati mtu mmoja mmoja hana amani ya roho na moyo wake sababau ya kutokua na furaha?
Norway topples Denmark to be the happiest country in the world (and the UK enters the top 20)
The 10 unhappiest countries in the world
146. Yemen
147. South Sudan
148. Liberia
149. Guinea
150. Togo
151. Rwanda
152. Syria
153. Tanzania
154. Burundi
155. Central African Republic