Watu 10 matajiri zaidi

Joselela

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
5,919
7,620
  • Bill Gates (mwanzilishi mwenza wa Microsoft): $86bn
  • Warren Buffett (mwekezaji Mmarekani): $75.6bn
  • Jeff Bezos (mwanzilishi wa Amazon): $72.8bn
  • Amancio Ortega (mwanzilishi wa Inditex): $71.3bn
  • Mark Zuckerberg (mwanzilishi wa Facebook): $56bn
  • Carlos Slim (mfanyabiashara kutoka Mexico): $54.5bn
  • Larry Ellison (mwanilishi mwenza wa Oracle): $52.2bn
  • Charles Koch (mfanyabiashara Mmarekani): $48.3bn
  • David Koch (mfanyabiashara Mmarekani): $48.3bn
  • Michael Bloomberg (mwanzilishi wa Bloomberg): $47.5bn.
 
Mbona wengine hela zao zaongezeka tu, sisi wengine vp?
Zitaongezekaje za kwako wakati 24/7 uko busy unafuatilia Mange Kimambi kaandika nini, Tundu Lissu katukana nini, Mbowe na Lissu ameitwa polisi unaenda kumsindikiza au Lema kapelekwa mahakamani unaenda mahakamani kusikiliza kesi au mkutane kwa wingi mahakamani kumpa support mahakamani na mat-shirt ya Free Lema au Bring back somebody au Kusubiria mwanasiasa agombee ubunge, umchangie pesa, umpigie kura then ulinde kura na akishindwa uchaguzi uandamane ili apewe ushindi - SASA HAYO YOTE HAO MATAJIRI HAWAFANYI, WAKO BUSY NA MAISHA YAO TU
 
  • Bill Gates (mwanzilishi mwenza wa Microsoft): $86bn
  • Warren Buffett (mwekezaji Mmarekani): $75.6bn
  • Jeff Bezos (mwanzilishi wa Amazon): $72.8bn
  • Amancio Ortega (mwanzilishi wa Inditex): $71.3bn
  • Mark Zuckerberg (mwanzilishi wa Facebook): $56bn
  • Carlos Slim (mfanyabiashara kutoka Mexico): $54.5bn
  • Larry Ellison (mwanilishi mwenza wa Oracle): $52.2bn
  • Charles Koch (mfanyabiashara Mmarekani): $48.3bn
  • David Koch (mfanyabiashara Mmarekani): $48.3bn
  • Michael Bloomberg (mwanzilishi wa Bloomberg): $47.5bn.
Kwan bakhrea hayumo kwenye list?
 
Back
Top Bottom