Tunamuomba Makonda akiwa anateka asiue mateka

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,079
114,608
Nimeanza kupata woga sana baada ya kusoma na kuona video zile za utekaji.

"Mtangazaji akapigwa mtama akaanguka chini,akajificha kwenye meza,mwingine akataka kubisha akapigwa na kitako cha silaha nzito ya kivita,akaanguka chini"....... Habari hii inaogopesha sana wadau.Tunashukuru pia jeshi la Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na usalama halikuja na vifaru.

Pamoja na kuwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ana haki ya kuingia sehemu yeyote na wakati wowote akiwa na jeshi lake,basi tunamuomba akiteka ofisi asiue mateka.

Sijui ni ofisi gani itatekwa wiki hii.Jamani ikitokea mkuu kaja ma jeshi tunaomba msilete upinzani ruhusini aingie na kufanya atakalo,kwani upinzani wowote unaweza kufanya kikosi kikalipua ofisi kwa mabomu au kufinyanga kwa vifaru vya kivita
 
Makonda angekuwa Mbunge wa kuchaguliwa ndie angekuwa Kassim Majaliwa wa JPM
 
Siamini kama huyu ndio Magu aliyekuwa mkali na mtata kwa wateule wake
IMG-20170321-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom